Gumzo Kuu
Loading...

Job opportunity at NIDA INFORMATION TECHNOLOGY OFFICER, STORE KEEPERS KIBAHA Deadline 26 AUGUST 2016

Tangazo la NAFSI YA AJIRA YA MUDA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA
Mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA) ni taasis iliyo chin ya wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, iliyoanzishwa kwa Hati Maalum GN.NO.122/2008 ili kusimamia zoezi la usajil ana utambuzi wa watu chini ya Sheria ya Usajili na Utambuzi wa watu sheria noa. 36 kama ilivyorekebishwa mwaka 2012 ( CAP 36. R.E. 2012)


kutokana na ongezeko la vifaa na mahtaji makubwa ya utunzaji  na ukarafiti wa vifaa hivyo Mmlaka ya Vitambulisho vya Taifa- NIDA inakaribisha maomb ya ajira za muda (temporary) employment) katika ofisi ya TANITA Kibaha mkoani Pwani kwa watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 40 kati ya watumishi 30 watnatakiwa wawe na ujuzi wa TEHAMA  (IT)  NA 10 wawe na ujuzi wa kutunza kumbu kumbu na vifaa (store keeper)
Maombi yote yaambatanishwe na vivuli vya vyeti vya taaluma pamoja na taarifa binafsi za mwombaji (CV) na ziwasilishwe kwa mkono katika ofisi ya mamlaka iliyopo TANITA- KIBAHA MKOANI PWANI
Mwisho wa kupokea maombi ni jumanne tarehe 26/08/2016

Source daily news August 19, 2016
SIFA ZA MWOMBAJI

Jinsi Ya Kushusha Video Kutoka Youtube Bila Ya Kutumia Programu Yeyote!

Leo tunakuletea njia rahisi sana ya kuweza kushusha video hizo. Njia hii haitahusisha utumiaji wa programu nyingine yeyote.
Kabla sijakupeleka kwenye njia hiyo cha msingi ni kwamba uhakikishe tuu kwamba intaneti yako inakasi (ili video unayoishusha isije ikafeli kabla bado haijashuka yote).
Tuifahamu NJia Hiyo.
MUHIMU: Njia hii inakubali kwa watumiaji wa simu janja (Android tuu, simu zingine labda kujaribu) na kompyuta!.
HATUA 1: Fungua Video unayotaka kuishusha.



Ingia Katika Video Unayotaka Kuishusha

Mfano: 
HATUA 2: Ukurasa wa video ukishafunguka nenda katika eneo la URL naa baada ya WWW. Weka SS na kisha bofya Enter kwa watumiajia wa kompyuta na baada ya M. weka SS kwa watumiaji wa simu janja.



Weka SS Baada Ya WWW. Au M.

HATUA 3: Ukurasa mwingine utafunguka ukiwa na sehemu ya kushusha video hiyo. Kabla ya kuishusha unaweza ukachagua video hiyo iwe katika mfumo gani (mf MP4, 3GP n.k).



Chagua Aina Ya Mfumo Wa Video

HATUA 4: ukishamaliza chagua mfumo unaoutaka kisha chagua Download.



Baada Ya Kuchagua Aina Ya Mfumo Unachagua 'Download'
Baada Ya Kuchagua Aina Ya Mfumo Unachagua ‘Download’

Hongera mpaka sasa una uwezo wa kushusha video za Youtube moja kwa moja katika kifaa chako kwa mtelezo kabisa. Ningependa kusikia kutoka kwako hii imekaaje? Je kwako imekubali?.


HAYA HAPA MAMBO 10 YAKUZINGATIA KUHUSU KOMPYUTA.

Bila shaka umewahi kufika dukani kutazama kompyuta  ukashindwa uchague ipi?. Pengine umewahi kuchagua mashine kadhaa na ukashindwa ununue ipi? . Na hata baada ya  kununua kifaa hiki umekutwa na hisia za kutaka kuuza?. Kama haitoshi , baada ya kuuza umebaki njia panda kwa maswali mengi,  utachukua tena kompyuta ya sifa gani?.Usiumize kichwa .Haya maswali na mengine mengi ni jambo la kawaida  hasa kwa watumiaji wengi wa kompyuta, huu ni wakati  wa changamoto kama ilivyo katika kuchagua bidhaa ya aina yeyote ile . Linapokuja swala  la sifa zipi ni bora na  zipi sio bora, unapohitaji kuchukua, kuchagua , kupendekeza ama kununua kompyuta . Mtumiaji anapaswa kuwa na mwanga halikadharika elimu kiasi ,kuhusu tabia na uimara wa hiki chombo cha umeme . Hivyo kabla ya uamuzi wa kuchukua, kuchagua ,kupendekeza ama kununua kompyuta husika,inakupasa uwe na ujuzi na uelewa wa kutosha juu ya hiki chombo. Katika kukujuza zaidi juu ya sifa, tabia na uimara wa kifaa hiki cha digitali, Kitabukwanza inakuletea mambo 10 muhimu ya kuzingatia unapohitaji kompyuta .

...Fursa 10 Bora Za Ajira,Bofya Hapa Chini Kuziona.
1.Unapaswa kujua jina la kompyuta



2.Unapaswa kubainisha aina ya matumizi (elimu/mchanganyiko/mengineyo)


3.Unataka mashine ya ukubwa wa kiasi gani(Local disk)




4.Unahitaji kompyuta yenye kuchakata kwa uwezo gani(Processor)


5.Uwezo wa kompyuta kurejea kumbukumbu  ulizo tia ndani(RAM)






6.Ukubwa wa kioo(screen resolution) ni muhimu kwa watazamaji wa filamu''movies''






7.Unataka aina gani ya mfumo wa kuendeshea kompyuta  (window xp,vista,7,8,mac)


8.Inaandika/inachoma mfumo gani wa santuri(cd/vcd/dvd writer)




9.kamera(web cam)ni muhimu kwa mitandao ya kijamii,skype,facebook n.k


10.Ukubwa/umbo(size) 








PLAY VIDEO BELOW.
© Copyright TANYUZI (Tz-News)
Back To Top